Matukio ya Taifa: Watu sita wajeruhiwa Lamu baada ya shambulizi la kigaidi

Interior CS Kithure Kindiki

Written by

in

Watu zaidi ya sita wamejeruhiwa kufuatia shambulizi la kigaidi eneo la nyongiro katika barabara ya witu kuelekea Garseni alfajiri ya kuamkia leo.