Baraza la maaskofu wakatoliki nchini (KCCB) linaitaka wizara ya elimu kuviondoa madukani vitabu vya gredi ya saba wanavyodai vinatoa elimu potovu inayokiuka maadili katika jamii.
Matukio ya Taifa: Maaskofu Wakatoliki wasihi serikali kuondoa vitabu potovu mashuleni
