Kenya inasherehekea miaka 60 ya kujitawala yaani Madaraka Dei. Je, ni muhimu? Rashid Mwamkondo Na Dorah Manya wamhoji Edward Mwasi Mkurugenzi Mkuu wa Kenya Yearbook.
Zinga: Edward Mwasi asisitiza umuhimu wa kusherehekea Madaraka