Mkurugenzi wa shirika la Kenya Yearbook Editorial Board Edward Mwasi asema Wakenya wanafaa kuzingatia masomo ya historia ya nchi kama njia mojawapo ya kuhakikisha wanajua wanakotoka na wanakoenda kama nchi.
Zinga: Edward Mwasi asihi Wakenya kuzingatia masomo ya historia ya nchi
